Basi la BM Coach Lapinduka Likijaribu Kukikwepa Kichwa cha Treni | ZamotoHabari.


Ajali hiyo imetokea maeneo ya Chekelei Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga wakati basi hilo likiwa safarini kutoka Arusha kuelekea Morogoro

Basi la BM liligongwa na ubavuni na kupinduka huku kichwa hicho cha Treni kikiendelea na safari

Dereva wa basi hilo amejeruhiwa vibaya pia abiria wachache nao wamejeruhiwa  -
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini