Maskini, Serengeti Boys yachezea kichapo Uturuki | ZamotoHabari.

Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys wakiokoa hatari kwekye mchezo uliochezwa leo dhidi ya Timu ya Guinea U17 katika mchezo wa kwanza wa mashindano ya UEFA ASSIST yanayofanyika Uturuki,mchezo uliomalizika kwa Guinea kupata ushindi wa goli 1-0.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini