Sijui ndio ujio wa wimbo mpya au ndo kashakata tamaa na maisha.....Mwimbaji Rich Mavoko ameandika ujumbe wa kutatanisha kupitia page yake ya Instagram unaosema:
Ni siku ya Mwisho ya Maisha Yangu Yaliyobaki"
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA
0 Comments