Wasanii Mliokuwa Mnabaniwa na Ruge Huu ndo Muda wa Kuthibitisha Kauli zenu | ZamotoHabari.



Kuna baadhi ya wasanii walitamka waziwazi na wengine kwa kificho kwamba aliekuwa mkuu wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media marehemu Ruge Mutahaba alikuwa kikwazo wao kushine na kupiga hatua maarufu Kama kuwabania.

Kwa mipango ya Mungu Ruge hatunae Tena Sasa wale walikuwa wanasema jamaa ndo kikwazo Ni muda muafaka wa kithibitisha kauli zenu kwa matendo

--Tuone mkitoa nyimbo kali
--Mkifanya matamasha makubwa Tanzania
--Mkifanya matamasha makubwa nje ya Tanzania
--Mkipata ubalozi wa makampuni mbalimbali
--Mkishinda tuzo mbali mbali za kimataifa

Mziki wa Bongo fleva kwa Sasa Kama umestack flani hivi tofauti na miaka ya 2015 hadi 2017 ambapo ulikuwa unakuwa kwa kasi na ushindani mkubwa.

By Brave One
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini