Mwili wa Ruge Kupokelewa Kifalme..... Hii Hapa Ramani ya Njia Rasmi ya Kuulaki Mwili Huo | ZamotoHabari.

Mwili wa Ruge Kupokelewa Kifalme..... Hii Hapa Ramani ya Njia Rasmi ya Kuulaki Mwili Huo
Mwili wa mpendwa wetu Ruge Mutahaba utawasili leo saa 9:00 Alasiri kutoka South Africa.

Hii ni Ramani ya njia rasmi mwili utakapopita hadi kufikishwa Hospital ya Lugalo kupumzishwa.

Wakazi wa jiji la Dar es salaam na meaneo ya jirani mtajipanga pembezoni mwa Barabara kuulaki mwili wa mpendwa wetu ukipita.



Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini