Saudi Arabia "Mtoto wa Osama Bin Laden Afutiwa Uraia | ZamotoHabari.


Hamza Bin Laden anayetajwa kubeba mikoba ya Baba yake Osama Bin Laden kwa kuwa kiongozi wa Kikundi cha Jihad

Kijana huyo mwenye umri wa miaka 30 anatuhumiwa kwa kutoa vitisho vya kuishambulia Marekani

Aidha, Serikali ya Marekani imetangaza kumsaka Hamza Bin Laden na kutoa chachu ya donge nono la zawadi ya Dola milioni 1 kwa atakayefanikisha kukamatwa kwake
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini