Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) akisalimiana na Mhamasishaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Taifa Stars, Peter Mollel alimaarufu kama Pierre Liquid walipokutana leo katika Hoteli ya Nashera Jijini Dodoma, kabla ya kumualika Bungeni kwa ajili ya kusikiliza Vikao vya Bunge vilivyoanza jana Jijini Dodoma. Katikati ni Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kulia) akisalimiana na Mhamasishaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Taifa Stars, Peter Mollel alimaarufu kama Pierre Liquid (Kushoto) walipokutana leo katika Hoteli ya Nashera Jijini Dodoma, kabla ya kumualika Bungeni kwa ajili ya kusikiliza Vikao vya Bunge vilivyoanza Jana Jijini Dodoma. Katikati ni Spika wa Bunge, Job Ndugai na Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai
Spika wa Bunge, Job Ndugai (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja wakifurahi jambo na Mhamasishaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Taifa Stars, Peter Mollel alimaarufu kama Pierre Liquid ( wa tatu kushoto) walipokutana leo katika Hoteli ya Nashera Jijini Dodoma, kabla ya kumualika Bungeni kwa ajili ya kusikiliza Vikao vya Bunge vilivyoanza jana Jijini Dodoma. Wa tatu kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai (kushoto), Mbunge wa Vijana kutoka Mkoa wa Dodoma, Miriam Ditopile (wa pili kulia) na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Dodoma, Billy Chidabwa
Spika wa Bunge, Job Ndugai (wa pili kushoto) akifurahi jambo na Mhamasishaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Taifa Stars, Peter Mollel (wa pili kulia) alimaarufu kama Pierre Liquid walipokutana leo katika Hoteli ya Nashera Jijini Dodoma, kabla ya kumualika Bungeni kwa ajili ya kusikiliza Vikao vya Bunge vilivyoanza jana Jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson na Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai.(PICHA NA DEONISIUS SIMBA - OFISI YA BUNGE)
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA
0 Comments