Tazama Show ya Rosa Ree Alivyokiwasha Mbaya Kenya, Atoa Siri ya Kingereza Chake, Aifagilia Elimu ya Kenya | ZamotoHabari.

Rapper wa Kike kutoka Tanzania yupo nchini Kenya katika ziara ya kutangaza kazi zake huko, Katika Harakati hizi nimekutana na Show moja kali aliyoifanya live katika Kipindi cha 10 over 10 Cha Citizen TV, Nimekuwekea Video Hapa chini uone perfomance yake na pia amefunguka kuhusu elimu ya Kenya kwani ndo iliyomfanya kuongea kingereza Vizuri

VIDEO:

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini