Kaimu Mkuu wa Idara ya Mikopo wa Benki ya Exim Tanzania, Bw Issa Hamis (kushoto) sambamba na Mkuu wa Kitengo cha wateja wakubwa (corporate) wa benki hiyo Bw Shrikant Ganduri (katikati) wakizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo waliohudhuria hafla ya futari iliyoandaliwa kwa ajili ya wateja wakubwa wa benki hiyo iliyofanyika kwenye hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki
Mkuu wa Kitengo cha wateja wakubwa (corporate) wa benki hiyo Bw Shrikant Ganduri akizungumza wateja wa benki hiyo waliohudhuria hafla ya futari iliyoandaliwa kwa ajili ya wateja wakubwa wa benki hiyo iliyofanyika kwenye hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki
Mmoja wa wateja wakubwa wa benki ya Exim Tanzania akitoa neno la shukrani kwa niaba ya wateja wa benki hiyo waliohudhuria hiyo iliyofanyika kwenye hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mmoja wa wateja wa benki ya Exim Tanzania akiongoza ibada wakati hafla hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Exim wakitoa neno la shukrani pamoja na utambulisho mbele ya wateja wa benki hiyo waliohudhuria hafla ya futari iliyoandaliwa kwa ajili ya wateja wakubwa wa benki hiyo iliyofanyika kwenye hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa kitengo cha wateja wadogo na kati wa Benki ya Exim Tanzania, Bw Andrew Lyimo (kulia) akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo pamoja na wageni waalikwa wakiwemo Waziri wa Habari, Michezo, Utalii na Mambo ya Kale wa Zanzibar Bw Mahamoud Thabit Kombo pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Bw Issa Haji Ussi wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa mwishoni mwa wiki kwa ajili ya wateja wa benki hiyo Zanzibar.
Mkuu wa kitengo cha wateja wadogo na kati wa Benki ya Exim Tanzania, Bw Andrew Lyimo (wa pili kulia) akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo pamoja na wageni waalikwa akiwemo Waziri wa Habari, Michezo, Utalii na Mambo ya Kale wa Zanzibar Bw Mahamoud Thabit Kombo (kulia kwake) wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa mwishoni mwa wiki kwa ajili ya wateja wa benki hiyo Zanzibar
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwemo Waziri wa Habari, Michezo, Utalii na Mambo ya Kale wa Zanzibar Bw Mahamoud Thabit Kombo (katikati) pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Bw Issa Haji Ussi (Kulia) wakijadili jambo walipokutana kwenye hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya Exim kwa ajili ya wateja wa benki hiyo Zanzibar iliyofanyika visiwani humo mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa kitengo cha wateja wadogo na kati wa Benki ya Exim Tanzania, Bw Andrew Lyimo (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo kutoka Dar es Salaam na Zanzibar kwenye hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya Exim kwa ajili ya wateja wa benki hiyo Zanzibar iliyofanyika visiwani humo mwishoni mwa wiki.
Jiunge Grupu la Mishono ya Vitenge VITENGE MISHONO



0 Comments