Haji Manara AFUNGUKA Kilichofanya Sevilla Wakarudisha Magoli Yote na Kuifunga Simba | ZamotoHabari.

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Haji Manara AFUNGUKA Kilichofanya Sevilla Wakarudisha Magoli Yote na Kuifunga Simba

From @hajismanara  -  Kocha bila shaka alikuwa anataka kuwapa nafasi wachezaji wengi zaidi ila imetugharimu kdogo but tumepata uzoefu mkubwa na kocha wetu atatumia mechi hii kama kipimo kwa ajili ya Timu yake


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini