Joseph Salun (28) mkazi wa Kijiji cha Mwakwaru Ngalitati katika Wilaya ya Siha amefukua kaburi la Baba yake aliyezikwa miaka mitatu iliyopita na kisha kutoa mabaki ya mwili wa marehemu nje ya kaburi
Joseph ameeleza kuwa alifukua kaburi hilo kwa lengo la kuchukua blanketi alilozikwa nalo marehemu kwa ajili ya kujisitiri wakati huu wa hali ya baridi - #regrann
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA



0 Comments