Kutoweka Kwa Azory Gwanda ni Miongoni Mwa Visa 10 Duniani Vinavyohitaji Dharura | ZamotoHabari.



Mwanahabari Azory Gwanda aliyetoweka katika mazingira ya kutatanisha yapata zaidi ya siku 500 zilizopita, tukio lake limeorodheshwa miongoni mwa visa kumi vya dharura

Orodha hiyo iko chini ya kundi linalopigania uhuru wa vyombo vya habari na umoja wa vyombo huru vya habari Duniani

Kundi hilo linaundwa na makundi 30 ya wahariri na wachapishaji vikiwemo vyombo vya habari kama India Today, Reuters, Quartz na The financial times

Vyombo vingine ni TIME na Washington Post ambavyo kwa pamoja vinatoa matamko ya kuwatetea wanahabari waliohatarini
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini