Ulikuwa Unajiuliza Lowassa Yupo Wapi...Aibukia Ujerumani na Mkewe | ZamotoHabari.


Waziri mkuu Mstaafu Edward Lowassa akiwa na mkewe Mama Regina Lowassa nchini Ujerumani. Mhe Lowassa yuko nchini Ujerumani kwa shughuli zake mbalimbali.

Hata hivyo baada hahijaelezwa kitu gani kilichompelea kiongozi huyo wa zamani nchini humo hadi kufikia sasa.

Lowassa hajaonekana hadharani kwa kipindi kirefu tangu alipotangaza uamuzi wake wa kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM) akitokea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilichompa dhamani ya kugombea Urais mwaka 2015.


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini