Woinde Shizza Michuzi Tv, Arusha
Wananchi Wa Wilaya ya Arumeru wapo mbioni kuondokana na adha ya ukosefu wa chumba chakuhifadhia maiti (mochwari) baada ya kujengewa mochwari Mpya ya kisasa.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ziara ya mkuu wawilaya hiyo mganga mkuu wa halmashauri ya wilaya ya Meru Cosmas Kalasala alisemakuwa chumba hicho chakuhofadhia maiti mpaka kiishe kitagarimu kiasi cha shilingi milioni 160.
Alisema kuwa mpaka sasa ujenzi umekamilika kwa asilimia 80%na wanatarajia kukamilisha ujenzi huo hivi karibuni ili wananchi waweze kutumia jengo hilo waondokane na usumbufu wa kwenda kuhifadhi miili ya marehemu nje ya Wilaya.
Kwa upande wake mkuu wa wilaya hiyo Jerry Muro alisema serikali ya awamu ya tano imeona tatizo hilo la ukosefu wa chumba cha kuhifadhia maiti, hivyo wakaamua watoe fedha za mfuko wa jimbo na kijengea chumba hichi katika hospital ya wilaya ya Arumeru
"unajua fedha hizi za maendeleo ya mfuko wa jimbo ni zamaendeleo ya
wananchi wa meru hivyo tumefata utaratibu wa kushirikisha wananchi
tukachukua fedha hizi kwaajili ya kuwajengea wananchi wa meru chumba cha kuhifadhia mihili ya marehemu ndugu zao"alisema Muro.
Alisema kuwa wananchi hao walikuwa wanapata tabu sana pindi ndugu zao
wanapofariki kwani hospital ya wilaya ilikuwa haina huduma hiyo kwakipindi kirefu hivyo walikuwa wanalazimika kwenda kuhofadhi miili ya marehemu ndugu zao katika hospital ya mkoa ya Arusha(mounti meru hospital ) ambapo ni zaidi ya kilometa 20kutoka hospital ya Wilaya.
Muro alisema jengo hilo linalojengwa nikubwa nalinaeza kuhifadhi miili 45
hadi 50 ya marehemu nawanatarajia kulizindua rasmi na mwenge wa uhuru
mapema Mwezi June.

Mganga mkuu wa halmashauri ya wilaya ya Meru Cosmas Kalasala akimuonyesha Mkuu wa wilaya ya Arumeru jinsi chumba hicho cha kuhifadhia maiti kilivyofikia .
Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro akizungumza na waandishi wa habari ambapo alisema jengo hilo la kuhifadhia maiti litasadia sana wananchi wa wilaya yake, kwani walikuwa wanapata tabu sana ya kusafirisha miilii pindi ndugu zao wanapofariki dunia
Jiunge Grupu la Mishono ya Vitenge VITENGE MISHONO
0 Comments