Mkewe mwanamfalme Harry wa Uingereza ajifungua mtoto wa kiume | ZamotoHabari.

Mwanmfalme Harry amesema kuwa yeye na Meghan "wanafuraha iyokuwa na kifani" baada ya mtoto wao wa kwanza kuzaliwa.

Amewashukuru wote waliyowapatia usaidizi kipindi cha ujauzitio wa mke wake.

Amesema Meghan na mtoto wao wako katika ''hali nzurI Jinala toto halijatolewa.

"Bado tunafikiaria jina tutakaliompatia," Mwanamfalme Harry aliwaambia wanahabari.

"Nadhani tutakuwa na tumepata jina katika kipindi cha siku mbili - kama ilivyopangwa - na kama familia tutawafahamisha jina lake na kila mtu amuone mtoto."
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini