Rais Magufuli akutana na Mkurugenzi wa IMF Ikulu | ZamotoHabari.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Mei 06, 2019 amekutana na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika wa IMF, Abebe Selassie Ikulu Jijini Dar es Salaam, ambapo walizingumzia mahosiano ya Tanzania na shirika hilo huku kiongozi huyo akisema kuwa IMF wataendelea kufanya kazi na Tanzania.

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini