Mwili wa Dkt. Mengi Wawasili Kilimanjaro....Maelfu Ya Watu Wafunga Barabara | ZamotoHabari.

Katika Hali isiyotarajiwa mkoani Kilimanjaro maelfu ya Watu wamejitokeza kuupokea mwili was Dkt Mengi.

Hali hiyo imesababisha msafara Kupata Ugumu wa kuendelea Hadi kufikia Hatua Nguvu ya Polisi Kuongezwa ili kuwasogeza Watu waliojaa barabarani.






Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini