Petit Man alisema kuwa hana budi kumshukuru mkewe huyo kwa kumzalia mtoto lakini alitamani siku ambayo anamtakia heri ya kuzaliwa mtoto wao huyo kwenye mtandao Esma angeona alichoandika.
“Unajua nilitamani napotoa shukurani mzazi mwenzangu huyo angeona lakini kwa bahati mbaya kaniblock sasa sina jinsi najua watu wake wa karibu watamwambia,” alisema Petit Man.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments