NAIBU SPIKA AFUNGUA MAFUNZO YA WABUNGE WANAWAKE | ZamotoHabari.



Naibu Spika wa Bunge, Mhe.Dkt. Tulia Ackson akifungua mafunzo kwa wajumbe wa Chama Cha Wabunge Wanawake (TWPG) yaliyofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Kushoto ni Mwenyekiti wa TWPG, Mhe. Magreth Sitta na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa TWPG, Mhe. Susan Lyimo.




Jiunge Grupu la Mishono ya Vitenge VITENGE MISHONO

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini