RCO wa Ilala afariki kwa ajali ya gari | ZamotoHabari.

RCO wa Ilala Jijini Dar SSP Mbise taarifa zinasema kuwa amefariki dunia muda huu wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro kwa ajali ya Gari akiwa safarini. Taarifa zinasema kuwa RCO Mbise alikuwa anaelekea nyumbani kwao kwa mapumziko ya kikazi. 




Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini