Benki ya Stanbic yatoa mafunzo kwa Meneja Rasilimali watu | ZamotoHabari.

 Mtaalamu wa masuala ya Kiuchumi,  Paulsen Mrina (kulia shati  la blue bahari) akiwaelezea Meneja Rasilimali Watu kutoka kampuni mbali mbali jinsi ya kutunza fedha, katika semina ya kuwawezesha kiuchumi iliyoandaliwa na Benki ya Stanbic Tanzania, Coral Beach Hotel, Dar es Salaam.
Meneja Rasilimali Watu kutoka kampuni mbali mbali wakijadili jambo katika semina kwaajili ya kuwapatia mafunzo ya kuwawezesha kiuchumi, iliyoandaliwa na Benki ya Stanbic Tanzania, Coral Beach Hotel, Dar es Salaam.


Jiunge Grupu la Mishono ya Vitenge VITENGE MISHONO

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini