Matokeo ya Mechi za Mtoano (Play- Off), Pamba na Geita Gold FC Chali | ZamotoHabari.

Kwenye Dimba la Mwadui Complex na mabao mawili ya Salim Salim Aiyee yanaibakiza Mwadui FC ligi kuu.

FT: Mwadui FC 2-1 Geita Gold FC (Agg: 2-1).

 kwenye Uwanja wa Kaitaba Bukoba na Kagera Sugar wanafanikiwa kupata ushindi

FT: Kagera Sugar 2-0 Pamba SC (Agg: 2-0).

Kwa matokeo hayo Mwadui FC na Kagera Sugar zinabaki Ligi Kuu ya Tanzania Bara.


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini