VIDEO: Makaonda "Nikiendelea Kuongoza Dar Wabunge Hawa Imekula Kwao" | ZamotoHabari.


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema kutokana na kazi nzuri inayofanywa na Rais Magufuli ya kueleta maendeleo kwa wananchi wa jiji hilo, Wabunge ambao hawatatui kero za wananchi kuelekea uchaguzi wa mwaka 2020 imekula kwao.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini