Waziri wa Fedha na Mipango, Dk, Philip Mpango (kulia), akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (kushoto), bungeni Dodoma mara baada ya Waziri Fedha, Dk. Philip Mpango (hayupo pichani), kuwasilisha bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/20.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk, Ashatu Kijaji akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (kulia), bungeni Dodoma mara baada ya Waziri Fedha, Dk. Philip Mpango kuwasilisha bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/20.
Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo (kulia), akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (kushoto), bungeni Dodoma jana Mara baada ya waziri wa fedha kuwasilisha bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/20.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (kushoto), bungeni Dodoma jana mara baada ya waziri wa fedha na mipango, kuwasilisha bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/20.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya DCB, Geodfey Ndalahwa (kushoto), pamoja na baadhi ya waalikwa wakifuatilia kwa makini uwasilishwaji wa bajeti ya Serikali Bungeni, Mjini Dodoma.
Jiunge Grupu la Mishono ya Vitenge VITENGE MISHONO
0 Comments