Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, RC Paul Makonda amemuomba radhi Radhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli kwa matokeo ya Taifa Stars hapo Jana na kusisitiza safari ya mapambano ndiyo imeanza.
Vilevile amemshukuru Mhe. Rais kwa nafasi aliyompatia kuja Misri kutafuta ushindi pamoja na Taifa Stars
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments