Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Spika wa Bunge la Misri, Mhe. Dkt. Ali Abdel Aal Sayyed (kulia) Ofisini kwake Bungeni Cairo nchini Misri.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akipokea zawadi kutoka mwenyeji wake Spika wa Bunge la Misri, Mhe.Dkt. Ali Angel Aal Sayyed Ofisini kwake Bungeni Cairo nchini Misri. Watatu kushoto ni Naibu Spika wa Bunge la Misri, Mhe. El Sayyed Mahmoud El Sharif
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akiagana na mwenyeji wake Spika wa Bunge la Misri, Mhe. Dkt.Ali Aal Sayyed baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo Ofisini kwake Bungeni Cairo nchini Misri
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Wabunge wa Bunge la Misri alipotembelea Bunge hilo leo Cairo nchini Misri katika ziara ziara maalum ya kikazi nchini humo. Katikati ni mwenyeji wake Spika wa Bunge la Misri, Mhe. Dkt. Ali Abdel Aal Sayyed
Jiunge Grupu la Mishono ya Vitenge VITENGE MISHONO
0 Comments