Taifa Stars Wakabidhiwa Bendera ya Taifa kuelekea AFCON Leo | ZamotoHabari.

Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza amemkabidhi bendera Nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta tayari kwa safari ambapo kikosi cha timu ya taifa kitaondoka leo kwenda nchini Misri kuweka kambi ya wiki mbili kikijiandaa na AFCON.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini