Breaking News: Mo Dewij Kung’atuka SIMBA Muda Wowote Kuanzia Vivi Sasa, Sababu za Kunga’atuka zatajwa | ZamotoHabari.



Mmoja ya wamiliki wa simba na C.E.O wa kampuni ya METL Mohamed Dewij amefunguka na kuonyesha nia yake na ya klabu ya Simba kwa ujumla, imeelezwa muda wowote kuanzia hivi sasa anaweza kuachana na klabu hiyo kama muwekezaji, taarifa za ndani zimeanza kuenea huku ikidaiwa kwamba hii ni kutokana na kukosekana kwa maelewano katika baadhi ya mambo na viongozi wa klabu hiyo yenye maskani yake mtaa wa msimbazi Kariakoo jijini Dar Es Salaam.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini