Kagere na wengine watatu warejea mazoezini Simba SC | ZamotoHabari.


Wachezaji wa Simba SC, Meddie Kagere, Deo Kanda, Francis Kahata na Sharaf Shiboub jana jioni wameanza mazoezi na wenzao kujiandaa na msimu mpya.

MK14 hana mchezo kabisa siku ya kwanza ya mazoezi na kazi ya kufunga ikaanza. Magoli ya Meddie Kagere na Wilker Da Silva wakifunga kwenye mazoezi ya jioni, na fundi Ibrahim Ajibu kafunga mawili.




   
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini