Kauli ya Kwanza ya JANUARY Makamba Baada ya Kutumbuliwa na Rais | ZamotoHabari.



Rais Magufuli ametengua uteuzi wa January Makamba ambaye alikuwa ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira

Nafasi hiyo kwa sasa Kapewa George Simbachawene. Kupitia Ukurasa wake wa Twitter, Makamba kaweka picha yake akiwa na mzee Mwinyi na kuandika; Kwa kweli nimeyapokea mabadiliko yaliyofanywa kwa moyo mweupe kabisa kabisa 😊. Nitasema zaidi siku zijazo


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini