BEKI wa kushoto wa Yanga, Gadiel Michael, amekanusha taarifa zilizozagaa kuwa amesaini mkataba na Simba na kwamba hajafanya mawasiliano yoyote na klabu hiyo.
Amesema suala la kuongeza mkataba na klabu yake ya sasa ya Yanga, litakamilika siku chache zijazo baada ya kurejea kutoka kwenye mashindano ya ubingwa kwa nchi za Afrika (Afcon) yanayofanyika Misri.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments