NYOTA YAKO LEO JUMATANO 03/ JULAI /2019:
🔯SIMBA LEO– (JUL 23 –AUG 22)
Elewa kuwa kuna mambo mengi ambayo ulikuwa unafichwa na watu wako wa karibu, lakini sasa utayagundua Unaonywa kutokufanya makosa na uyaepuke maudhi, hasa kwa mpenzi wako.
🔯MASHUKE– (AUG 23- SEPT 23)
Siku ya leo unatakiwa kuwa makini na mambo ya mapenzi kwani kosa dogo tu linaweza kusababisha mfarakano mkubwa kati yako na umpendae Ambae mna mgogoro hivi sasa. Jaribu kupata ushauri wa rafiki yako wa karibu.
🔯MIZANI– (SEPT 24- OCT 23)
Siku ya leo nenda katika shughuli muhimu tu. Shughuli zozote ambazo unaona hazina umuhimu kimaisha au kipesa jiepushe nazo. Jaribu kuanza mipango mipya ya kimaisha hasa katika mambo ya kipesa.
🔯NG'E– (OCT 24- NOV 22)
Mambo yako ya kimaisha yatakuwa ya kusuasua sana na migogoro ya mara kwa mara. Lakini mambo yako ya kibiashara yatakunyookea sana katika kipindi hiki unatakiwa uwashirikishe watu wako wa karibu ili kupata ufanisi zaidi.
🔯MSHALE– (NOV 23– DES 21)
Leo ni siku nzuri maisha yako yatakuwa na furaha sana wewe na mpenzi wako au mkeo au mumeo. Mambo yako kikazi yatakunyookea sana na upo uwezekano wa kupandishwa cheo au kuongezwa mshahara jitayarishe kwa hilo.
🔯MBUZI– (DES 22– JAN 20)
Siku ya leo anza kujihusisha na shughuli inayohusiana na pesa kwani kufanya hivyo kutakuletea mafanikio ambayo ulikuwa unayategemea kwa muda mrefu. Biashara za vitu vya maji kama vinywaji na vyakula zitakufaa.
🔯NDOO– (JAN 21– FEBR 19)
Leo kuna mtu ambae atakuletea ugomvi unaotokana na Wivu kwa kukuona umesimama na ndugu yako wa kike jaribu kumwelea kwa uzuri na jiepushe na maneno makali yanaweza yakakuza ugomvi huo.
🔯SAMAKI– (FEB 20- MARCH 20)
Siku ya leo kuna dalili mbaya hasa ukiwa na shuguli nyingi za kifedha au kibiashara, kwani mambo yako yatakuwa yanakwenda polepole kinyume na ulivyotegemea kama una mipango mingine ya kifedha ukiachana na hiyo fanya.
🔯PUNDA– (MARCH 21– APR 20)
Siku ya leo kuna uwezekano wa kushirikishwa katika mazungumzo ya kibiashara ambayo yatakupeleka sehemu nzuri na za kukufurahisha ukipata nafasi hiyo hakikisha unaikamata kwa nguvu zote.
🔯NG’OMBE– (APR 21– MAY 21)
Leo utasumbuliwa sana na watu mbalimbali watakaokujia kutaka msaada au maongezi yasiyo ya kikazi Kuna habari ya kuvunjika kwa safari yako ya mbali habari hiyo isikujalishe.
🔯MAPACHA– (MAY 22- JUN 23)
Hii ni siku ya bahati katika nyanja zote Punguza maneno, majibizano, ugomvi na lolote la mikwaruzano unaweza kupata balaa. Jaribu sana kutulia nyumbani kwako kuliko kutembeatembea mitaani.
🔯KAA– (JUN 22– JUL 22)
Unatakiwa kuwa makini sana katika kipindi hiki cha mpito, kwani kosa dogo tu linaweza kukuleta matatizo mipango yako uliyokuwa umeipanga na mpenzi wako iahirishe kwa muda wa miezi miwili. ________________________________________________
SHEIKHE ISAYA ANAMSHUKURU MWENYEZI mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake. wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo,na anatoa pete na mikufu ya bahati, kupata kazi, kupata cheo; kushinda kesi, kufaulu masomo, nk na ukiitaji kufatilia nyota yako kila siku ingia katika pager yetu ya Facebook>> tumaini tiba asili<< utaona yota yako SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +255745495181 0682644040
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments