Mali za Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), freeman Mbowe kupigwa mnada Jumamosi jijini Dar es Salaam ikiwemo ukumbi wa Disco wa Bilicanas.
Mali za Kampuni ya Mbowe Limited zilishikiliwa kwa kipindi cha miaka mitatu tangu mwaka 2016 na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa madai ya kutolipwa kodi kwa miaka 20.
Ilielezwa kuwa tangu tangu mali hizo kushikiliwa na NHC kodi inayodaiwa ni sh bilioni 1.1.
Mali nyingine zikazopigwa mnada ni makabati, viti, taa, majukwaa pamoja na vifaa vingine ambavyo vitakuwa katika ukumbi huo wa Bilicanas.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments