Nyota Yako Leo Alhamisi Jul 2019 | ZamotoHabari.

NYOTA YAKO LEO ALIHAMISI JULAI 04/2019:

🔯SIMBA LEO- (Julai 24- Agosti 23)
Kuna hali ya dharau itakukera nyumbani su ofisini kwako hata hivyo si Wakati mzuri wa kupayuka Kama umeolewa utashuhudia kitu kibaya kwa mumeo na umeoa Jihadhari na fumanizi lisilokuwa na madhara.

🔯MASHUKE-  (Agosti 24- Septemba 23)
Utafanya mengi usilotarajia na kipato kitaongezeka huu ni Wakati wa kuumiza kichwa ili kupata maendeleo zaidi masuala ya mapenzi yataendelea kukuzonga na maradhi au maumivu yatapungua.

🔯MIZANI– (Septemba 24– Oktoba 23)
Huyu aliyekuahidi Jambo muhimu si mkweli na wiki hii utamgundua vumilia kidogo atakayekusaidia atakuja hivi karibuni na utampata bila kutarajia.

🔯NG'E– (Oktoba 24- Novemba 22)
Utashinda njama za kufanyiwa ubaya nyota inakulinda pia utahitaji maombi maalum tafuta ushauri kwa watu waliokuzidi umri.

🔯MSHALE– (Novemba 23– Desemba 21)
Utakutana na mtu atakayekupendeza machoni na kumuamini vya kutosha lakini anaweza asiwe rafiki au mwenye msaada kwako epuka kuamini Kila mtu hasa katika kipindi hiki ambacho na wewe una matatizo unayohitaji kuyakabili

🔯MBUZI– (Desemba 22– January 20)
Hiki ni kipindi kizuri cha kuongeza kipato katika maisha yako una mwezi mmoja wa kuona mabadiliko tafuta mafanikio kwa nguvu zote ndicho kipindi ambacho kikipita utakuja kujutia.

🔯NDOO– (January 21– February 19:
Ulizaliwa uwe mwenye mafanikio una sura na nuru inayong'aa lakini unaharibikiwa na watu wasiokutakia mema maendeleo yako tafuta njia ya kujinasua na uache kujiamini kwa Kila Jambo yapo mengine yatakushinda.

🔯SAMAKI– (February 20– March 20)
Kuna nafasi ya kupita nafasi kimapato kuliko ulivyo hivi sasa unachokosea ni kujua aina ya maisha yako konyota unayotakiwa uishi tafuta ushauri wa kinajimu.

🔯PUNDA– (March 21– April 20)
Utaendelea kudharauliwa katika hali hii inakupasa kutafuta mbinu mpya za kuongeza kipato nafsi bado unayo na yapo madini maalum yatakayovuta Mali na jinsi ya kuepuka ufukara.

🔯NG'OMBE– (April 21– May 21)
Ahadi yako ipo pale pale kwamba mambo mazuri mengi yanakuja kilichopo Ni kubadilisha maisha yako kutoka yale uliyoyazoea na kutafuta mbinu za kupata kuinua kipato huu ni Wakati wa kusubiri tena bahati inakusogelea kwa kasi.

🔯MAPACHA- (May 22– Juni 21)
Ni kipindi kizuri kwako kipato kitaonekana na hali ya maisha yako itabadilika heshima vilevile itaongezeka unachotakiwa ni kuvaa kito cha madini yatakayovuta bahati yako.

🔯KAA–(Juni 21– Julai 23)

Matukio ya kutisha yatasikika katika maisha hiki ni kipindi kizuri kwako kuonyesha uwezo wako utashinda mitihani yote na kukuondoa wasiwasi uliokuwa nao vaa nguo za kuvuta bahati zako.  SHEIKHE ISAYA ANAMASHUKURU MWENYEZI mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake. wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi, mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, anatoa pete na mikufu ya bahati, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, naukiitaji kufatiria nyota yako kila siku, ingia katika pager yetu ya Facebook,>> tumaini tiba asili <<<nk SHEIKHE ISAYA ANATATIKANA DSM MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +25574549518 0682644040
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini