NYOTA YAKO LEO JUMAMOSI JULAI 20/2019:
☣️SIMBA LEO– (Julai 24– Agosti 23)
Siku ya leo mambo yako yatakuwa mabaya Unashauriwa kujihadhari na midomo ya watu kwani kuna watu wanakuonea husuda na watajaribu kila njia kukufanyia fitina au kukukamatisha Usifanye shughuli yoyote ya magendo au kupokea rushwa utakamatwa.
☣️MASHUKE– (Agosti 24- Septemba 23)
Siku ya leo mambo yako ya kikazi yatayumba mahusiano ya kimapenzi yanaelekea kuvunjika, mambo ya kipesa pia hayatakuwa na nafuu hata kidogo Usijaribu kukopa utashindwa kulipa.
☣️MIZANI– (Septemba 24– Oktoba 23)
Leo ni siku nzuri sana katika biashara mambo yako yatakunyookea na utakutana na mtu wako wa karibu ambaye mlikuwa mmepotezana kwa kipindi kilefu.
☣️NG'E– (Oktoba 24- Novemba 22)
Siku ya leo unatakiwa kuwa makini sana kwani kuna hatari ya kupoteza vitu au kuibiwa, familia yako au mpenzi wako atakusumbua sana kuhusu ahadi ulizowaahidi Jaribu kutekeleza ahadi hizo.
☣️MSHALE– (Novemba 22– Desemba 21)
Kuanzi leo jumamosi mpaka Jumapili mambo yako yatakuwa mazito kutekelezeka unaonywa na kutakiwa kuwa makini sana katika kila jambo Ushauri utakaopewa leo uzingatie kwani ni ushauri mzuri kwako.
☣️MBUZI– (Desemba 22– January 20)
Siku ya leo kuna mambo yatakukuta bila ya kujua chanzo chake, kuwa makini na kupokea mizigo ya watu kwani kuna hatari ya kupokea mizigo ya wizi Jaribu kuwasiliana na rafiki yako mliegombana rafiki yako wa karibu atakusaidia.
☣️NDOO– (January 21– February 19)
Leo hii mambo yako yatakuwa yanakwamakwama yatakuwa hayaendi mpaka uyasimamie mwenyewe usijaribu kumuweka mtu akufanyie jambo lolote, bila ya kufanya hivyo utapata hasara na utajuta.
☣️SAMAKI– (February 20- March 20)
Kuna furaha itakujia katika siku za hivi karibuni, kati ya leo ijumaa mpaka wiki ijayo. Tarajia kupata habari za kupatikana kwa mafanikio au kazi yenye manufaa makubwa kwako.
☣️PUNDA– (March 21- April 20)
Leo utajikuta unapata safari za ghafla na utasafiri mbali Katika safari hizo utakutana na watu ambao watajitolea kukusaidia katika mambo yako ya kimaisha Pendelea kutoa sadaka na kusaidia yatima.
☣️NG’OMBE– (April 21– May 21)
Siku ya leo mambo uliyokuwa unayatarajia yatatimia na mipangilio yako kutimia, isipokuwa mambo ya mahaba, mapenzi na Ndoa yatakuwa ni yenye kukukasirisha na kukudhi.
☣️MAPACHA– (May 23- Juni 21)
Siku ya leo mambo yako yatakwama na kufungika kuna mtu wako wa karibu anajaribu sana kukukwamisha Unashauriwa kuitumia nafasi hii kutafuta mbinu nyingine katika mambo yako yote uliyokuwa umeyapanga.
☣️KAA– (Juni 22– Julai 23)
Siku ya leo mambo hapo nyumbani yatakuwa mazuri ugomvi kati yako na mkeo, mumeo, ndugu zako au mpenzi wako utamalizika Mgonjwa naye atapata nafuu Tumia fursa hii kuimarisha uhusiano kati yako na rafiki yako.
SHEIKHE ISAYA ANAMSHUKURU MWENYEZI mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto , kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo,
matatizo ya kinyota, mahusiano, mateso ya majini wa kila aina magonjwa mbali mbali majini mahaba, kusafisha Nyota mivuto ya biashara
SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +255745495181 0682644040
.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments