Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipochangia mada kuhusu kuimarisha amani na utulivu Barani Afrika katikati mkutano wa saba wa Kimataifa wa Tokyo kuhusu Maendeleo katika Bara la Afrika (TICAD 7) uliohitimishwa leo kwenye Ukumbi wa hoteli ya Pacifiko Yokohama nchini Japan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Jiunge Grupu la Mishono ya Vitenge VITENGE MISHONO
0 Comments