MASHINDANO YA WAKUU WA MAJESHI YA POLISI YA NCHI ZA KANDA YA AFRIKA MASHARIKI (EAPCCO GAMES 2019) KUFUNGWA LEO JIJINI NAIROBI NCHINI KENYA | ZamotoHabari.

Mkauguzi Msaidizi Frank wa Jeshi la Polisi Tanzania na Konstebo Lucas wakihesabu matundu ya risasi wakati wa ulengaji wa shabaha kwenye mashindano ya michezo ya Wakuu wa Majeshi ya Polisi ya Nchi za Kanda ya Afrika Mashariki (EAPCCO GAMES 2019) yanayoendelea jijini Nairobi Nchini Kenya. Mashindano hayo yanatarajiwa kufungwa rasmi leo Agosti 31, 2019. Picha na Jeshi la Polisi Tanzania.
Askari wa Jeshi la Polisi Tanzania kutoka kikosi cha kutuliza ghasia Makao Makuu, Konstebo Daudi Jumanne akifyatua risasi wakati wa ulengaji wa shabaha kwenye mashindano ya michezo ya Wakuu wa Majeshi ya Polisi ya Nchi za Kanda ya Afrika Mashariki (EAPCCO GAMES 2019) yanayoendelea jijini Nairobi Nchini Kenya. Mashindano hayo yanatarajiwa kufungwa rasmi leo Agosti 31, 2019. Picha na Jeshi la Polisi Tanzania.
Kutoka kushoto ni Askari kutoka nchi za Uganda, Tanzania, Rwanda, Kenya na Burundi wakiwa katika ulengaji wa shabaha kwenye mashindano ya michezo ya Wakuu wa Majeshi ya Polisi ya Nchi za Kanda ya Afrika Mashariki (EAPCCO GAMES 2019) yanayoendelea jijini Nairobi Nchini Kenya. Mashindano hayo yanatarajiwa kufungwa rasmi leo Agosti 31, 2019. Picha na Jeshi la Polisi Tanzania.
Kamanda wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia wa Jeshi la Polisi Tanzania, Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Sanga akizungumza na askari wake wakati wa shindano la ulengaji wa shabaha kwenye mashindano ya michezo ya Wakuu wa Majeshi ya Polisi ya Nchi za Kanda ya Afrika Mashariki (EAPCCO GAMES 2019) yanayoendelea jijini Nairobi Nchini Kenya. Mashindano hayo yanatarajiwa kufungwa rasmi leo Agosti 31, 2019. Picha na Jeshi la Polisi Tanzania.
Kamishna wa Polisi kutoka Nchi ya Kenya, CP Kamitu (kushoto) akisalimiana na Kamanda wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia cha Jeshi la Polisi Tanzania Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Sanga wakati wa shindano la ulengaji wa shabaha kwenye mashindano ya michezo ya Wakuu wa Majeshi ya Polisi ya Nchi za Kanda ya Afrika Mashariki (EAPCCO GAMES 2019) yanayoendelea jijini Nairobi Nchini Kenya. Mashindano hayo yanatarajiwa kufungwa rasmi leo Agosti 31, 2019. Picha na Jeshi la Polisi Tanzania.
Askari kutoka nchi za Tanzania, Rwanda, Kenya, Uganda na Burundi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya shindano la ulengaji wa shabaha kwenye mashindano ya michezo ya Wakuu wa Majeshi ya Polisi ya Nchi za Kanda ya Afrika Mashariki (EAPCCO GAMES 2019) yanayoendelea jijini Nairobi Nchini Kenya. Mashindano hayo yanatarajiwa kufungwa rasmi leo Agosti 31, 2019. Picha na Jeshi la Polisi Tanzania.
Askari wa Jeshi la Polisi Tanzania kutoka kikosi cha kutuliza ghasia Makao Makuu, Konstebo Daudi Jumanne (kulia) akifyatua risasi wakati wa ulengaji wa shabaha kwenye mashindano ya michezo ya Wakuu wa Majeshi ya Polisi ya Nchi za Kanda ya Afrika Mashariki (EAPCCO GAMES 2019) yanayoendelea jijini Nairobi Nchini Kenya. Mashindano hayo yanatarajiwa kufungwa rasmi leo Agosti 31, 2019. Picha na Jeshi la Polisi Tanzania.


Jiunge Grupu la Mishono ya Vitenge VITENGE MISHONO

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini