Maskini..Mtoto Akutwa Jagwani Akitembea Peke yake, Adai Wazazi Wake Wameuawa | ZamotoHabari.


Huyu ni Mtoto Raia wa Syria, Maafisa wa Umoja wa Mataifa (UN) wakiwa Njiani wakakutana na Mtoto huyu Mahali hapa akitokea Syria kuelekea Jordan, na alikuwa Peke yake Kama anavyoonekana Katika Picha, Mkononi alikuwa ameshika Mfuko wa Nailoni na Ndani ya Mfuko Kulikuwa na Nguo za Wazazi wake ambapo inasemekana walikuwa wameuwawa Muda mchache tu kabla ya yeye Kufika Mahali hapa,

Ndipo Kijana huyu akaanza Safari ya Kujikomboa Mwenyewe Kutoka Syria Kulekea Jordan,

Kina Mama na Watoto wanauwawa Nchini Syria, hatupaswi Kukaa Kimya,
Mateso haya sio Haki kwa Raia wa Syria,

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini