Mwanamuziki Nandy Amkacha DIAMOND na Wasafi Festival Yake...Mwenyewe Afunguka Sababu | ZamotoHabari.


Mwanadada Nandy anayefanya vizuri hivi sasa ametoa sababu za kutoonekana kwenye Tamasha la Wasafi festival japo kuwa yeye ni moja ya Wasanii wanaofanya vizuri kwa hivi sasa.

Kwenye moja ya interview yake Nandy aliulizwa, Nandy sasa hivi unafanya vizuri sana tulitegemea kukuona kwenye tamashal la Wasafi festival lakini kimya tatizo nini?

"Mbona wao hawapo ujaniuliza kwanini hawapo kwenye Nandy Festival lakini nahisi ni mambo ya ratiba hayo mengine ni inshu za Management" alijibu Nandy

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini