SIMBA (Julai 22-Agosti 22)
Leo kama ikiwa ukikubaliana na mtu yoyote jambo lolote ujue atakwambai usubiri kwanza au atakucheleweshea mahitaji yako, kuwa na subira na tumia hekima utafanikiwa.
MASHUKE (Agosti 23-Sep 23)
Pamoja na kwamba leo itakuwa siku nzuri kwa kila jambo lako utakalolifanya usianzishe mambo mapya endeleza yale ya zamani na utafanikiwa tu
MIZANI ( Sep 23-Oktoba 23
Jumanne ya Leo jaribu kuwa karibu na watu ili uweze kufanikisha mambo yako, Fanya ibada kwa mujibu wa imani yako. Toa sadaka na utafanikiwa.
NGE (Oktoba 23-Nov 22)
Siku ya Leo kuna uwezekano wa mambo yako kuvurugika kuwa makini katika kuchagua washirika, wengine watakuhitaji wewe ili kupata kitu na sio marafiki wa kweli.
MSHALE (Nov 22- Desemba 21
Leo jumuika na vikundi vinavyofaa hasa nyakati za jioni, kama una matatizo yanayokusumbua yatakwisha kwani utasaidiwa kuondokana na matatizo hayo hata kupata ushauri.
MBUZI ( Desemba 21- Jan 20)
Leo kuwa makini unaweza kupoteza vitu vya maana Tumia busara katika mambo yako hasa wale wenye nyota hii ambao mnaotumia usafiri wa umma katika kufanya safari zenu za hapa na pale.
NDOO ( Jan 20- February 19)
Leo kuwa muangalifu na mtu yoyote ambaye utashirikiana nae katika jambo lolote, wanaweza kukuingiza katika mambo ambayo yatakuletea balaa kubwa na hasara kuwa makini sana.
SAMAKI ( February 20- March 20)
Leo usipokuwa macho mambo yako yataharibiwa na watu wengine hasa wale ambao wako katika serikali au katika dini. Kuwa mpole kuwa muda huu ili kupisha dhahama hiyo iondoke.
PUNDA ( March 20-April 20)
Leo ni siku nzuri kwako kuna uwezekano wa wewe kupata bahati katika mambo yako, pamoja na hayo jaribu sana kuwa muangalifu katika kila jambo ambalo umepanaga kulifanya..
NGOMBE( April 21- May 20)
Tumia Jumanne ya leo kukamilisha mambo yako uliyokuwa umepanga kuyafanya, Fanya safari, kutana na wadau wa biashara zako na tekeleza wajibu wako kazini.Mambo mazuri yanakuja
MAPACHA ( May 21- Juni 20)
Leo Ili kuweza kukamilisha mambo yako ni lazima ukutane na mtu mkubwa akiwa yupo hapa au yupo mbali akusaidie kuondokana na yanayokusibu vinginevyo hakuna mafanikio katika jambo lolote
KAA ( Juni 21- Julai 22)
Leo fanya kila Jitihada kukutana na wakubwa zako wakusaidie kukupa ushauri, bila hivyo itakuwa vigumu kwako kutatua matatizo yako yanayokukabili hasa yale yanayohusiana na maisha.nyota yako haijakaa sawa
*************************************
SHEIKHE ISAYA ANAMSHUKURU MWENYEZI mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake. wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi, mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo. aliye mbari nawe. hakujari ama akutimizi shida wako. huvutwa na kurejea haraka. na atakufanya upate mme au mke mwenye mari .kupata cheo kushinda kesi, kufaulu masomo, nk SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA DAR E-SALAM OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +255745495181
+255682644040 WOTE MNAKARIBISHWA
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments