Wakati Wengine Wakinunulia MAGARI Michepuko..Mwanamuziki Tundaman Amnunulia MKEWE Gari ya Thamani Kubwa | ZamotoHabari.


“Nimemnunulia gari mke wangu kumuonnesha jinsi gani ninavyomjali,amenizalia mtoto sijampa zawadi yoyote kubwa, leo au kesho tukiachana aseme kweli kuna zawadi alinipa mume wangu imenifikisha sehemu” - Tundaman Amefunguka
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini