Bosi mpya wa Simba kutoka Afrika Kusini azungumza Kiswahili/ Aweka wazi mipango yake/ Ampa tano Magori | ZamotoHabari.

  

Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Simba SC, Senzo Mazingiza kutoka nchini Afrika Kusini ametanmbulishwa rasmi leo katika hoteli ya Serena huku akionyesha uwezo wake wa kuzungumza lugha ya Kiswahili, pia ameweka wazi malengo yake ndani ya timu hiyo pamoja na kumpongeza CEO aliyemaliza muda wake Crescentius Magori. 


 

 


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini