Yanga Yaambulia Sare Dhidi ya Pamba | ZamotoHabari.

 

Pamba SC wameweza kupata sare ya 1-1 mbele ya mabingwa wa kihistoria wa Tanzania Bara, Yanga SC katika mchezo wa kirafiki iliyopigwa kwenye dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza. 


Pamba ilikua ya kwanza kupata bao dakika ya 31 kupitia kwa Saad Kipanga na Yanga kusawazisha dakika ya 90 kupitia kwa David Molinga. 


Pamba iliweza kucheza pungufu kwa takribani dakika 60 baada ya kiungo wake Hamis Thabit kutolewa kwa kadi nyekundu kwa kuonesha mchezo usio wa kiungwana kwa Feisal Salum.


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini