Mwanaume unatakiwa kuwa na ubongo wenye macho kujua wazo linalo kwenda na masikio yenye mzani wa kupima kila kauli na moyo wenye utulivu kuweza kuwa na subila katika uwekezaji wa mapenzi..... Mtandao mmoja unaoitwa FORTUNE ulisema thamani ya bei ya viungo vya mwanadamu.
Moyo unathamani ya $1.4m hizi ni sawa na bilioni 3.24 kwaiyo unapo mpenda mtu kwa moyo wako wote jua umewekeza billion 3.241 ruturnus ya uwekezaji wako inatakiwa furaha, amani na vicheko.... Ukimpenda mtu hutakiwi kutoa hata Tsh 1 ukiona unampenda mtu halafu anakuomba pesa kuanzia vocha, kusuka, nguo nk, vunja mkataba wa uwekezaji wa upendo wa bilion 3 anza kujipenda mwenyewe....
Baadhi ya wanawake sikuizi ana degree lakini anaomba pesa za kufanyia barthday part, kwenda out na marafiki na hana ajila wala wazo la bishara. Mwanamke wa namna hii liability hafai kwenye maisha wala ndoa sababu ana mbegu ya kuharibu kizazi.
Ukiona mwanamke haombi pesa kisha anakupenda na kukuheshimu jua huyo ni asset mpe mtaji kuwa muwekezaji mzuri kwake kwasababu mwanamke bora huwa mume bora. Wanawake wa namna hii ndio wajenzi wa familia wanao endeleza vizazi... Kuhonga ni udhaifu mkubwa kwa mwananume ila kumhudumia mwenza wako ni jukumu lako mwanaume kunatofauti ya kuhonga na kuhudumia mwanamke bora aombi pesa hata siku moja.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments