Msanii na Mchezaji Filamu maarufu kutoka nchini marekani Will Smith akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa hifadhi ya Taifa ya Serengeti alipokuwa akijiandaa kuondoka baada ya kumaliza Mapumziko yake ya siku tano katika hifadhi ya Taifa ya Serengeti
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments