Lulu Diva Amefunguka haya
"Nakula Sana Matikiti na Maembe ndio Maana Nakuwa Mweupe, Kula matikiti asubuho mchana na jioni utaona unavyokuwa Mweupe
"Mimi Original labda tu vitu ambayo nimevaa kama nywele ndio sio orijino, nina aibu asilimia 77.99 ndio maana sijiamini bila miwani"
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments