Maskini...Baba Mtakatifu Francis Achelewa MISA Baada ya Kukwama Kwenye Lift | ZamotoHabari.

Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Francis (82) jana alichelewa misa katika Kanisa la Mt. Petro, jijini Vatican baada ya kukwama kwenye lifti kwa dakika 25 kufuatia umeme kukatika, kabla ya kutolewa na kikosi cha zimamoto. Awali ilihofiwa kuwa kiongozi huyo alichelewa kutokana na sababu za kiafya.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini