Mchekeshaji Kevin Hart Apata Ajali Mbaya ya Gari... | ZamotoHabari.



Mchekeshaji mkubwa duniani Kevin Hart ameripotiwa kupata ajali ya gari alipokuwa katika mizunguko yake nchini Marekani.

Kwa mujibu wa vyanzo vya habari nchini Marekani vimeripoti kuwa Kevin alikuwa akijaribu kukwepana na gari jingine na hatimaye gari lake kuacha njia na kuangukia katika eneo la karibu na Maliba Hills California nchini Marekani. Hali ya kiafya ya mchekeshaji huyo ni nzuri na bado anaendelea kupatiwa matibabu.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini