PICHA: Basi la Mwendokasi lililokuwa linatokea Mjini kuelekea Kimara Mwisho limeteketea kwa moto eneo la Kimara Mwisho DSM usiku huu, hakuna madhara yaliyojitokeza kwa Binadamu, Kaimu RPC Kinondoni amesema bado chanzo cha ajali hakijajulikana hadi pale uchunguzi utakapofanyika.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments