Mwili wa Robert Mugabe kuwasili Zimbabwe Jumatano | ZamotoHabari.

Mwili wa Rais Mstaafu wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe unatarajiwa kuwasili nchini humo Jumatano, Septemba 11, na mazishi yatafanyika Jumapili, Septemba 15.

Rais Mugabe alifariki dunia Septemba 6 huko nchini Singapore alipokuwa akipatiwa matibabu tangu mwezi Aprili, 2019.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini